Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
Thread za wavulana cc; Eiyer na Evelyn Salt
Last edited by a moderator:
Ulikua unaleta pouz...domo zege tuu hunalolote manzee
Mdoeee tu??amekublock whatsapp hili usione picha anazoweka ila wewe anakuwa anakuchungulia.
kaka sio dege zege nilikuwa navuta speed kwanza sjakaa vizur kasepa
Mimi fursa kama hizi siwezagi kuziacha zipite hivi hivi. Kakuona sio ndo maana kakupotezea.
Kudoea zenji ndo kutongoza
Umdoee??
wagusanishe vikojoleo romantikale...
Hivi kwa nini bahati kama hizi, zinaangukia kwa watu wasioelewa nini maana yake? Kaka hapo wengine wangekuwa wanapanga wakutane tena lini kuendeleza game.
afu wew ni mwanaume ujue asa kipi cha kushinda hapo
Sasa mbona kanikatia mawasiliano mm ndipo nashangaaa
Daah ila wacha nijipe moyo atarudi