Nisaidieni kujua bei

Nisaidieni kujua bei

Rmma

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje?
 
Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje?

We ulikinunua kwa bei gani na kwanini wataka kukiuza?
 
Kiwanja ni cha urithi,ckununua na sababu ya kuuza kwa vile sina mpango wa kuishi Chanika.Ninaishi mji kasoro bahari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom