Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Habari wapendwa!
Mimi niliacha kazi ghafla, ila ili mwajiri anipe job termination letter ni lazima nimpe mshahara wa mwezi mzima, au?
1. Mshahara ulikuwa 650,000 total...meaning ukitoa NSSF na PAYE kwa mwezi nilikuwa nabakiwa na laki 5 hivi. Sasa mwajiri ninampelekea kiasi gani, 650,000 yote?
2. Nini maana ya Gross salary na Basic salary, na ipi hapo ndo stahiki ya mwajiri?
3. Ninapompelekea hiyo hela ninaambatanisha na barua yangu ya kuacha kazi? ntaiandika tarehe gani, ya siku ninapopeleka hela yake au ya siku nilipojifukuzisha kazi?
4. Vitu gani vinahitajika NSSF mbali na barua tu ya kuachishwa kazi na nitakaa miezi mingapi ndo nikachukue hela yangu?
5. Nitumie njia gani ili NSSF yangu itoke mapema kabla ya muda wa kisheria?
6. Wakati nafanya kazi overtime, nilikuwa nakatwa zaidi. Je mwajiri atajaza na hizo overtime zangu kwenye form za NSSF ntakazompelekea au atajaza tu basic yangu? na atajumlisha na ile ninayosikia huwa mwajiri anaongeza?
Asanteni. Ukienda mbali zaidi kwa kuniPM kunipa majibu haya vizuri, nitakupa ya bia 2 kupitia M-pesa, sitanii.