Nisaidieni kisheria

emock

Member
Sep 23, 2011
23
1
Kuna jirani yetu hapa, wameletewa summons za mahakamani lakini jina la aliye shitakiwa kashafariki.

Je unaweza kuweka pingamizi la kisheria???? Kama ndiyo utatumia mamlaka gani ili kushinda pingamizi hilo.

Naombeni ushauri wenu jf
 

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
24
Kuna jirani yetu hapa, wameletewa summons za mahakamani lakini jina la aliye shitakiwa kashafariki.

Je unaweza kuweka pingamizi la kisheria???? Kama ndiyo utatumia mamlaka gani ili kushinda pingamizi hilo.

Naombeni ushauri wenu jf

mkuu ok kama unasema mshitakiwa wa kwanza kaishafariki na wa pili yupo hapo obvious yeye kama yeye yani mshtakiwa wa pili ambaye yupo hai aende tu mahakamani akasikilize shauri lake kwasababu mwisho wa siku hata kama na marehemu angekuepo kila mtu angesomewa mashtaka yake kivyake.kuhusu pingamizi hujaeleweka yani kuipinga summons au?huwezi kuipinga summons just aende tu mahakamani mambo mengine ya utetezi yatatokana huko huko.
unakumbuka kesi ya zombe?kama unakumbuka basi kuna yule akari alifariki na wadau wanadai ndo alikua shahidi mzuri lakini kesi iliendelea kama kawa.sasa basi na kwa hao majirani zako waende unaweza kukuta kwa kufariki mshtakiwa wa kwanza ndo ikawa kesi imeharibika lakini usije ukachukulia hii kama ndio inavyokua.kwasababu na kwa upande mwingine hata kwa kutokuepo kwake huyo mshtakiwa wa kwanza still mshtakiwa wa pili akala mvuakama kawa kutokana na ushahid uliopo unakua umejitosheleza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom