Sasa na wewe kama mshaelewana na mtu kwa nini unaleta ujanja ujanja??!! Kama uliona huridhiki si bora ungemwambia tu!! Anyway nenda kaongee naye kiutu uzima muombe yaishe, mwambie sababu ya kufanya vile ulikuwa na matatizo hivyo hukuona haja ya kumsumbua kudai fedha zaidi. Na kama mkielewana ongea naye kuhusu malipo ili uridhike maana inaonekana jamaa hataki ujanja ujanja.