Nisaidieni Jinsi ya kupata majibu ya uhakiki wa cheti rita

Chief Damalu

New Member
Dec 26, 2018
4
0
Habari wanajamiiforum wenzangu..
Naomba mnisaidie,,,Akaunti yangu ya rita imegoma kureset password baada ya mimi kubadili password za email yangu,,,Rita wanataka nireset password lakin kila nikiweka password wanasema ni invalid,,,nifanye vip ili niweze kuangalia majibu ya cheti changu cha kuzaliwa nilichotuma kihakikiwe?
 
kubadili password ya email haina uhusiano na rita wew mwenyewe ndio utakua unakosea
 
Mkuu una akaunti ya RITA na E-MAIL au una E-MAIL tu??? kama una e-mail tu sidhani Kama kwenye kureset password RITA wanahusika kwasababu hata kwenye kufungua hiyo akaunti hawahusiki kwa chochote jaribu kuwa makini tu utafanikiwa.
 
Unapotengeneza password jaribu kuandika pengne iwe rahisi zaidi utakapo rejea tena!

Nenda kuna option ya forgot passwors ila kumbuka email uliyofungulia ndio inayotumika kureset password yako
 
Unapotengeneza password jaribu kuandika pengne iwe rahisi zaidi utakapo rejea tena!
Nenda kuna option ya forgot passwors ila kumbuka email uliyofungulia ndio inayotumika kureset password yako
Nimejaribu kwenda kwenye forgot password wakanitumia link ya kureset password lakini kila nikiweka password ili kureset naambiwa ni invalid
kubadili password ya email haina uhusiano na rita wew mwenyewe ndio utakua unakosea
Mkubwa,,kujisajili akaunti ya rita wanahtaji email na password,,sasa mimi nilijisajili nikatuma taarifa zangu na chet,,sasa kupata majibu naambiwa password sio sahihi,,nmejaribu ku reset,,naambiwa invalid key,,nifanyeje kureset password ili nipate majibu ya cheti changu?
 
Back
Top Bottom