KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 259
wadau, mm nilikuwa nafanya field, wizara moja hivi nimemaliza nataka kuandika report hebu tusaidiane juu ya hili.
wadau, mm nilikuwa nafanya field, wizara moja hivi nimemaliza nataka kuandika report hebu tusaidiane juu ya hili.
naona unaficha tatizo ulilonalo, field report hutegemea na aliyekutuma kufanya (your faculty dean), anahitaji uonyeshe nini ktk report yako. Ila kama hukuambiwa uonyeshe nini, waweza kuonyesha yafuatayo:
>Background
>Strengths
>Weaknesess/challenges
>Suggestions
>Conclusion.
Kama ulifanya field ktk faculty ya education, na kama ni vgumu kwako kuandaa kupitia hvyo vpengele nilivyokuwekea hapo juu,
mkuu unaweza nisaidi sample ya field report, punasoma kozi gani mkuu nijue namna ya kukusaidia
bosi nashida na mimi ya saple ya report kama unayo naomamba bosi wanguMsafiri Kasian naomba unitumie pm hiyo sample ya facult ya education
Naweza pata na mimimkuu unaweza nisaidi sample ya field report, p
lease and please