babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
Hivi hawa wanaouza hizi karanga za
kutembeza wakienda chooni kapu
wanaliweka wapi?.....
kutembeza wakienda chooni kapu
wanaliweka wapi?.....
AliÀche Àibiwe!anaenda nalo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Anamuachia mshikaji wake
dah aiseee..umeuliza swali zito sana...nadhani huwa wanaenda nalo choooni...
Hahahaaa afu leo nimekula karanga kwelkwel
Anaingia nalo chooni!Hivi hawa wanaouza hizi karanga za
kutembeza wakienda chooni kapu
wanaliweka wapi?.....