Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

ELWA MAN

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie, demu wangu anataka tufanye mapenzi kila siku. Hivi nifanyaje jamani
 
Chapa kijana acha kulalamika. Kama mkikutana mara 2 kwa wiki unapigaga goli tatu kwa mechi, zigawanye fanya moja kila siku!
 
demu au mke wako?kama demu wako kwanini mfanye mapenzi kabla ya ndoa?
 
tatizo ni nn hapo sasa. wanaume wanapiga nje daily na home anasubiri zamu.
ila huyo demu kicheche, ina maana ukizembea kidogo tu, wajanja wanapita nae kwa speed ya jet engine.
gonga kwa muda fulani halafu sepa
 
Back
Top Bottom