Ni ulimbukeni tuu.Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine,
The problem is I can't forget my ex boyfriend haipiti siku sijamkumbuka,I always dream of him,,hatuna mawasiliano na wala siyataki,I jus want to love my husband I think what I'm doing isn't fair for him.....
Sijakuuliza kama alikuowa, nimeuliza mna mtoto naye? kama huna Mtoto naye maana yake hakuna bond hapo inayokusukuma wewe kuendelea kumuwaza yeye, close Gadget n move on. Don't kiss the wind unaweza wewe ukawa unamuwaza kumbe mwenzako hajawahi kukuwaza na aliye naye sasa anamtosheleza labda kuliko ulivyokuwa wewe.
hatuna mtoto,
Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine,
The problem is I can't forget my ex boyfriend haipiti siku sijamkumbuka,I always dream of him,,hatuna mawasiliano na wala siyataki,I jus want to love my husband I think what I'm doing isn't fair for him.....
Hujatulia.Ni ulimbukeni tuu.
SAUDARI , sijakataa nilipenda kabla kuoa, lakini niliye mpenda ndo nimemuoa, na kabla ya mimi kumpenda nilisha tuma jeshi la kike la family yangu kuhakisha pale napo penda hakuna kasoro.Mbona fazaa wewe ulipenda kabla ya ndoa?
Wengi siku hizi wanakutana disco, fiesta, sherehe, baa n.k na kuondoka pamoja siku hiyo hiyo!!!!!!!!!!!!SAUDARI , sijakataa nilipenda kabla kuoa, lakini niliye mpenda ndo nimemuoa, na kabla ya mimi kumpenda nilisha tuma jeshi la kike la family yangu kuhakisha pale napo penda hakuna kasoro.
Afu weka hii kichwani kwako, sio kila mmoja anayependa anazubaa mitaani na mwanamke...kama wanavyo fanya wengine.
Sisi wengine, tukisha penda trunaweka, wake zetu majumbani chap chap...sababu ni faida kwako na faida kw amke wako ndo mana ndoa zetu hazina kasoro 😛oa
Ni mtazamo wangu tuu na kumbuka nie ni NJEMBA kama huyo uliye naye hapo home ati.Asante,ila nilichohitaji ni ushauri na wala Sio matusi na kejeli waweza pita tu taratibu Sio lazima uchangie,
Hivi unadhani unamdanganya nani hapa?Sisi wengine, tukisha penda tunaweka wake zetu majumbani, chap chap...sababu ni faida kwako na faida kwa mwanamke wako, ndo mana ndoa zetu hazina kasoro 😛oa
SAUDARI , sijakataa nilipenda kabla kuoa, lakini niliye mpenda ndo nimemuoa, na kabla ya mimi kumpenda nilisha tuma jeshi la kike la family yangu kuhakisha pale napo penda hakuna kasoro.
Afu weka hii kichwani kwako, sio kila mmoja anayependa anazubaa mitaani na mwanamke...kama wanavyo fanya wengine.
Sisi wengine, tukisha penda tunaweka wake zetu majumbani, chap chap...sababu ni faida kwako na faida kwa mwanamke wako, ndo mana ndoa zetu hazina kasoro 😛oa
Kama umeisha zowea kudanganya, sio wote waongo kijana.Hivi unadhani unamdanganya nani hapa?
Kila mtu anatazama type anaye ipenda, mimi lazima nitazame vitatu.Duh! wewe unaonekana unajali sana mila na desturi zetu.Wengi siku hizi wanakutana disco, fiesta, sherehe, baa n.k na kuondoka pamoja siku hiyo hiyo!!!!!!!!!!!!
Baadae wanajitangazia mume na mke.