Inaelekea huyo ex boyfriend wako alikuatosheleza kuliko mumeo ndo maana unamkumbuka.
Au nini kinachokufanyia umkumbuke kiasi hicho?
:laser:mshewa2 njoo hapa unijibu swali langu.
Huyo zilipendwa wako mmezaa naye Mtoto?Sio kuwa mume wangu hanitoshelezi Nop,ila hata mimi Sijui ni nini ndo maana naomba mnisaidie cha kufanya nimsahau,may be coz we spent so much time 2gether,
Huyo zilipendwa wako mmezaa naye Mtoto?[/QUOTE
Hapana hakuwa amenioa,jus a longtime relationship,
sio kuwa mume wangu hanitoshelezi nop,ila hata mimi sijui ni nini ndo maana naomba mnisaidie cha kufanya nimsahau,may be coz we spent so much time 2gether,
si kawaida yenu hata mkiolewa bado mnakuwa na mabwana wengine
Sijakuuliza kama alikuowa, nimeuliza mna mtoto naye? kama huna Mtoto naye maana yake hakuna bond hapo inayokusukuma wewe kuendelea kumuwaza yeye, close Gadget n move on. Don't kiss the wind unaweza wewe ukawa unamuwaza kumbe mwenzako hajawahi kukuwaza na aliye naye sasa anamtosheleza labda kuliko ulivyokuwa wewe.Huyo zilipendwa wako mmezaa naye Mtoto?[/QUOTE
Hapana hakuwa amenioa,jus a longtime relationship,
Haya ndo madhara ya kupenda kabla ya ndoa.
Ungejituliza nyumbani kwenu mpaa time ya kuolewa, yasinge kukuta hayo.