Nisaidieni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni jamani

Discussion in 'JF Doctor' started by SunStrong, May 26, 2011.

 1. S

  SunStrong Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guys, miaka mitatu sasa imepita nimekuwa nikisikia maumivu katika mguu wa kushoto, kuanzia kwenye paja la kushoto mpaka kwenye kisigino. Mguu unapata moto. Nilifanya procedure zote za kidactari lakini naona bado sijapona. Nilishafanya X-RAY, Scanning lakini hakuna tatizo. Sasa hivi nasikia kichomi upande wangu wa kushoto wa mbavu. Pia na mkono wa kushoto una maumivu kwa mbali na unakosa nguvu. Nikinywa maji mkojo unanibana haraka. Naona jogoo wangu unasinyaa kwa kasi. Sijawahi kufanya tendo la ndoa lakini nahisi sitakuwa na nguvu za kutosha. Can U help me?
   
 2. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  je unakuwa na kiu cha maji kila wakati?
  jinsi ulivyojieleza kwa kifupi, unaweza kuwa una kisukari (diabetes) cha muda mrefu.
  na sasa unapata complications za diabetes.... diabetic neuropathy.
  sasa nenda clinic/dispensary/hospitali na upatiwe vipimo vifuatavyo,
  Fasting blood sugar au random blood sugar (kipimo cha damu)
  Urinalysis (kipimo cha mkojo) waone kama hauna sukari kwenye mkojo.
  vipimo hivi muhimu vitaonyesha kama una kisukari au hapana, then daktari wako atakupatia dawa za ku control hicho kisukari
  na pia dawa za kurudisha uwezo wa peripheral nerves
  na pia ushauri kuhusu chakula cha aina kipi utumie na kipi usitumie au kula kwa uchache sana
  I hope this helps!
   
Loading...