nisaidieni jaman eti modem ya .......

nisaidieni jaman eti modem ya .......

Mussa kiraka

Senior Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
106
Reaction score
13
mambo zenu wana jf nna modem ya sasatel kwa kwel sina uzoefu nayo nataka kununua kifurushi nitanunuaje? msaada tafadhal zawadi nono kwa atakae wahi
 
ingia www.sasatel.co.tz.then chagua bundle prices,mm ninayo,juzi nilinunua bundle yaitwa speed day,ikanijia msg kuwa imekubali!kumbe inakula hela zangu!nka download,alfu kumi yangu ikaliwa!siitak tena!wasanii tuu hawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom