Nisaidieni hili swali (Language 2 Advanced Level)

Da copper

Member
Sep 4, 2019
7
1
When playwright compose their work of art focusing on the social struggle, they always build courageous characters to face danger for well-being of their society. Justify this assertion with reference to two plays you have read (use four points for each character).


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliotangulia wametoa justification nzuri kuwa unatakiwa upate characters katika kila shairi (vitabu viwili utakavyoweza kutumia) waliotumiwa na playwriters kwenye baaadhi ya mashahiri yao kwa kutoa mifano ya matatizo ambayo hao characters wameweza kudhubutu na hata kuweza kupambana nayo kuleta mafanikio au matokeo chanya kwenye jamii. Nadhani unatakiwa pia kuandaa point nne katika kila character unayemtumia na akikisha theme unazotoa zinalenga haswa mamatizo hai yalinganayo na jamii tunayoishi sisi uweze kupata marks nzuri na kumshawishi msaishaji zaidi kuwa umeelewa swali katika ufafanuzi wako.
 
Hahahah! Playwrights ni waandishi wa tamthilia si mashairi.

Swali linataka aeleze namna ya waandishi wa tamthilia, waanavyojenga/kuumba wahusika majasiri wanaojitolea kupigania/kupigania jamii zao. Atumie walau vitabu vya tamthilia walai viwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom