sio kwamba unaiacha unakua hutumii? mfano kama unadownload kitu halafu ukaiacha pc bila kugusa keypad au touchpad basi baada ya muda fulani itajizima yenyewe na kujieka kwenye sleep mode.
Kuna jamaa alikuwa analaptop yenye windows ya kucrack salsa baada ya kuliwa ile crack. Ikawa inampa alert kuwa Window yake si genuine. Ikawa inabadili screen kuwa nyeusi, mara baada ya muda fulani tangu a customize. Check pia Window yake.