Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Kuna mdada mmoja namfuatilia{namtongoza},asa nimempga mistari weee lakini bado ananichomolea,jana nkajarbu kuwa kama nampotezea flani hvi,then ye akaniuliza kama nimekasirika kutokana na majibu alyokua ananijbu me nkamwambia wala hata cjakacrika,ndio akanambia nisimchukulie vibaya,hayo yote ni kwa sababu hajawah kupenda katika maisha yake..asa wakuu,ebu niongezeeni mistari itakayonifanya nimlainishe huyu binti kiulaini.