Nisaidieni Desktop yangu ina tatizo

Nisaidieni Desktop yangu ina tatizo

Mtoa mada keyboard inafanya kazi wakari BIOS zinaload I mean ukibonyeza F12 wakati bios zinaload inakubali?
 
Najiaminisha computer yako ina ps/2 port ambayo unaweza chomeka keyboard je nayenyewe haifanyi kazi??kama zipo na zinafanya kazi still hauna haja ya kubadilisha motherboard kwa matatizo hayo pekee...unaweza nunua Ps/2 to Usb converter shilingi elfu tano tu ukatumiaa usb mouse kama kawaida kupitia ps/2 port

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam hiyo inafanya kazi nadhani hii ni best way Shukran ntalifanyia kazi hilo niinunue
 
Anhaa sawa kwahiyo nipe njia ya kusolve hili mkuu kulingana na ulivyolielewa tatizo
Nimeshakupa njia mkuu,hapo unachotakiwa kufanya ni kujaribu kutroubleshoot tatizo hasa ni hardware au ni software....kwa kuanzia unaweza check device manager then check usb driver kama zipo installed au kwa suluhisho jepesi na la haraka ili kujua kama ni hardware issue au software Install freshy copy ya Os.

Cjajua PC yako inatumia windows ipi now, but najua ukiweka windows 10 lazima itaload most of ur pc required hardware driver ikiwa pamoja na hizo usb driver.

From there ikiwa still inakataa kusoma hizo usb device ulizonazo na ukiwa na uhakika hizo device zinasoma pasi na shaka katika pc nyingne bac hizo built in usb port zitakuwa zinashida...unaweza tafuta pci card yenye usb port ukaweka ukawa umemaliza tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190110_000041.jpg
    IMG_20190110_000041.jpg
    261.3 KB · Views: 38
Back
Top Bottom