Nisaidieni Dawa ya Tatizo hili

Spalulu

JF-Expert Member
May 5, 2013
283
146
Habari wana Jf, nina kijibustani changu hapa nyumbani nimepanda mboga chache, sasa nimegundua ni zaidi ya mara mbili au tatu, kila nikimwaga mbegu za mchicha sisimizi wanashambulia mara tu mchicha ukianza kuota na hivyo hauendelei. Nitumie mbinu gani au dawa gani kuondoa sisimizi hawa?
Asanteni.
 
Nashauri ukanunue sumu kwenye maduka ya pembejeo za kilimo, mchicha wako ukianza kutokeza tu unapiga ratio ya sumu kadri utakavyokua umeshauriwa na mtaalamu wa kilimo(maelekezo ya kwenye label ya dawa).
 
Asante sasa hiyo sumu/dawa inaitwaje labda? Au ndo watanishauri huko huko?
 
Ukienda duka la dawa za mazao we wambie unataka sumu ya kupiga kwenye mboga mboga (bustani) sumu zipo nyingi mkuu na bei zinatofautiana kutegemeana na aina ya sumu husika.
Ngoja nijaribu kutafuta majina maana ni miaka mingi sijafanya kazi za bustani
 
Oooh asante mkuu
 
Back
Top Bottom