Wadau heshima zenu,mwenzenu naishi kwenye nyumba za kota za watumishi wa uma some where hapaa dar es salaam tukiwa ndo tumehamia tu miaka miwili iliopita tulikaribishwa na jirani mmoja matata yeye na mwanamke wake huyu jirani mwanaume nilisoma nae hivyo tukafurahiana sana huyu mwanamke alikua akija kulala pale mara chache alikua ni mwanachuo ila ndio mke mtarajiwa, mumewangu alikua masomoni hivyo hawakumfahamu, tulizoeana sana kiasi cha kuitana anti, siku zinavyoenda nikagundua stori za uyo mke za kimalaya sana.nilijikaza kwa uvumilivu nisiharibu ujirani wetu baada ya muda mume wangu alirudi hivyo tukaanza mipango ya kutafuta kiwanja atlist tuanze kujenga.nilifanya hilo kwa usiri mkubwa ila cha kushangaza alijua vitu vyetu vingi hata tulivyoongea kwa siri nilimhisi mumewangu labda vile anavyoongea na mwanaume mwenzie labda anamshirikisha basi nilimuonya mume wangu ila akashangaa akiniambia labda mimi ndio nimesema ,baada ya tukio hilo jirani me& ke walianza kupunguza ukaribu kwetu, sikujiskia vibaya ila tulijiuliza sana.baada ya muda wakanunua gari ndo kabisaaa full kutupotezea pia hatukuuliza ila kushangaza jirani hasalimii anawezakusafiri familia ikapatashida tukawasaidia ila akirudi hatambui hata hashukuru kageuza wajibu wetu kumsaidia mkewe na ndugu waliopo.juzi wamevamiwa sijui mume kawazulumu nini wakaja tulisaidia sana hadi kupeleka hospitali walioumia ila tulipojaribu kuulizia wanavyoendelea hawakutujibu kwenda hospitali tunaambiwa hawapo.kweli nimefundwa kuishi na watu ila hili nafikiri tuachane nao au ntakua nakosea? nisaidieni mawazo tafadhari.kama hunawazo la kujenga tafadhari kaakimya
Uandishi gani huu. Hakuna nukta, hakuba paragraph. Sentensi hazieleweki. Ndo tumefikia hapa.

asanteni sana.napata amani jwa majibu haya maana nilihofia kama ntakua peke anguwenyemawazo ya kujinyamazia kimya,
Kweli kabanga sijawahi ishi kota na tulipotoka tulikua na majirani safi kabisa tena tuliishi kama ndugu.ila nafikiri nilitakiwa kuutambua wakati.
Makedonia pole kama hujazoea mauza uza lazima utachemka tu kuishi na dizain hizi.
wakiwa na shida kwako mlangoni hawabanduki kila dakika jirani ee jirani ee kweli inabidi kunyaza tu