Raycom mvungi
Member
- Mar 22, 2013
- 79
- 9
Wadau habari najakwenu mnisaidie nimeamua kuachana na mchumba wng kwa sababu zisizo zuilika tatizo nilikuwa nampenda sana nifanyeje ili ni msahau niwena aman sina marafiki wakuongea nao sinywi pombe sivuti sigara sina weekend mie asubuhi job jion nyumban tafadhali msaada