Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Asante mzabzab kwa ushauri.hapo wala sio tatizo wewe zitunze hizo sms...alafu wakilisha kitu polisi basi!!!
Asante mzabzab kwa ushauri.
mimi nakushauri na wewe uwe kauzu mtafute mke wake umpe mkanda mzima na umwambie amfikishie mumewe ujumbe kwamba ahache kukufuatafuata dawa ya mume wa mtu akikuzingua wakilisha kwa mkewe lazima ashike adabu
Nikimpigia hapokei,nikatumia namba tofauti aliposikia sauti yangu akakata simu.mpigie simu umweleze hupendezwi na hiyo tabia kwani kila mtu ana maisha yake
mimi nakushauri na wewe uwe kauzu mtafute mke wake umpe mkanda mzima na umwambie amfikishie mumewe ujumbe kwamba ahache kukufuatafuata dawa ya mume wa mtu akikuzingua wakilisha kwa mkewe lazima ashike adabu
Hilo nalo neno!hiyo kweli inahusika kabisa, asante mamaa kigogo!mimi nakushauri na wewe uwe kauzu mtafute mke wake umpe mkanda mzima na umwambie amfikishie mumewe ujumbe kwamba ahache kukufuatafuata dawa ya mume wa mtu akikuzingua wakilisha kwa mkewe lazima ashike adabu
Nikimpigia hapokei,nikatumia namba tofauti aliposikia sauti yangu akakata simu.
Hii imekaa vizuri, je ikitokea mkewe hakuniamin na akalishwa sumu nn mumewe kwamba mie ndio namtaka mmewe na akanigeuka na kuniona mwizi wake itakuwaje?Well said mama kigogo, nenda kamweleze mkewe huo upuuzi wake na hakikisha kila msg anazokutumia unampelekea mkewe aone
Asante mkuu, nimekusoma.Peleka hiyo kesi kwa wazazi wake, ikishindikana vyombo vya dola vipo.
Nikimpigia hapokei,nikatumia namba tofauti aliposikia sauti yangu akakata simu.
Well said mama kigogo, nenda kamweleze mkewe huo upuuzi wake na hakikisha kila msg anazokutumia unampelekea mkewe aone
Sie tumeachana na ndio maana aliweza kuoa, anachofanya ni kuniharibia na kunikosesha amani na uhuru wa maisha yangu,na huyu hahitaji maongezi ndio maana ananipa vitisho other wise angenitafuta kistarabu tukaongea,sina uhakika km nikimwambia mkewe atakuwa upande wangu au mmewe anaweza mwambia mie ndio namtaka then na yeye akaniona mwizi kumbuka wale wanapendana ni mke namume!sitaki nyie mmetengana tu kwa hiyo inawezekana mkarudia suala lenu "watu hawaachani hasa waliokaa muda mrefu wanatengana tu"
tafutanene mzungumze ikishindikana mhusishe wife wake...........
Hii imekaa vizuri, je ikitokea mkewe hakuniamin na akalishwa sumu nn mumewe kwamba mie ndio namtaka mmewe na akanigeuka na kuniona mwizi wake itakuwaje?
Kuwasiliana nae ndio hivyo ni ngumu, nitajaribu kuwashirikisha watu wake wa karibu.hakuna jinsi ambayo unaweza kurahisiha kuwasiliana nae ??? au tafuta watu wake wa karibu wawakutanishe umweke wazi kwani tabia hizi zinaweza kukusumbua zaidi siku za usoni kwani yeye ana lengo la kukuharibia
Wala hata cmpendi tena so sitaweza kuolewa nae,asante kwa ushauri king'asti.endelea tu kuwakera na ww. kila msg hakikisha unamtumia mkewe (baada ya kupata namba yake). halafu, kwa nini usi-block namba yake ama ww kubadili namba ya simu? akiendelea mchukulie rb, tafuta mshkaji mmoja mbabe afu mumtafute ajitambulishe. ila ukimpotezea tu ataona ujinga aachane na ww. kama uliwajua wazazi wake nenda kamwage mboga,waambie wakalipe mahari kwenu akuoe mke wa pili kama wanataka!