Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

tumia hao wawili unaofahamiana nao uwaweke wazi ili watumie busara kuongea naye ... pia akikupigia usijibishane nae kwenye simu wala nini ila muhimu jaribu kutunza msg na kumrekodi akiongea itakusaidia baadaye ikikulazimu kuchukua hatua
 
tatizo ni kuwa hao wanaume unaowapata wote doko! look for a man and not a boy.

Yeah man!.....mwanaume unatishiwa na mtu ambaye siye mume wake halaf unakimbila mitini,...nachoona hapa ni either huyo 2nd boyfriend wako hakukupenda au ni kwamba ana uoga wa kirugaruga........look for a man.....ongea na WhoCares kama vip atakusaidia

Nb:Mjini hakuna mtu mbabe bana(huyo ex wako ni mshamba ama anatingisha kiberiti)
 
tumia hao wawili unaofahamiana nao uwaweke wazi ili watumie busara kuongea naye ... pia akikupigia usijibishane nae kwenye simu wala nini ila muhimu jaribu kutunza msg na kumrekodi akiongea itakusaidia baadaye ikikulazimu kuchukua hatua
Nimekuelewa mkuu na nitafanyia kazi ushauri wako, asante sana BPM.
 
Yeah man!.....mwanaume unatishiwa na mtu ambaye siye mume wake halaf unakimbila mitini,...nachoona hapa ni either huyo 2nd boyfriend wako hakukupenda au ni kwamba ana uoga wa kirugaruga........look for a man.....ongea na WhoCares kama vip atakusaidia

Nb:Mjini hakuna mtu mbabe bana(huyo ex wako ni mshamba ama anatingisha kiberiti)
Nimekusoma mkuu, ila nategemea alimwambia nn au hata alimwonyesha picha tulizopiga nae enzi zetu na ndugu zetu wa karibu au kumwambia mambo tu amabayo yanaweza kumfanya mtu akaamini kuwa bado niwapenz!
 
Ni suala jepesi akikutishia na message zake za kipuuzi mjibu hivi, "Acha kunifuatilia, tulishaachana muda mrefu kwa amani sasa unataka nini tena? Mimi bado ni msichana hivyo naomba usiingilie uhuru wangu wa kuchagua mwenzi wangu, vinginevyo nitakufungulia kesi ya kuingilia uhuru wangu na kunitishia maisha na ushahidi ni hizi message unazonitumia" Ukimaliza mwambie ukizidi nitakwenda kwa mkeo kumjulisha kuhusu hili uone kama atachekelea.
 
Namna zote zikishindikana na akaendelea, niampeleka kwa vyombo vya dola coz ushahidi ninao wa msg zake, thax feis buku.

hamna kitu kushindikana hapo,..huyo ex wako ni mshamba tu na wala usimpe kichwa kwa kumpleka kwa pilato,..usitumie njia za vijijini kutatua matatizo kwenye matatizo ya mjini(mpele kimjini *2 kama alivyotaka)..wewe mpambanishe na wahuni wenzie kama hajakimbia mwenyewe...mpuuzi huyo yaani hajali kabisa furaha ya wenzake_kama bado alikupenda kwa nini alikuacha
 
Mpeleke uone kama itashindikana hakuna mtu anyependa usumbufu wa kijinga siku hizi, atakuona nuksi hufai na ndiyo utakuwa mwisho wenu. Usiogope kuonekana mbaya katika hilo.
 
Asante kwa ushauri kule hakuna mjanja nilitaka kupata ushauri kwanza kabla ya kuamua.
 
hamna kitu kushindikana hapo,..huyo ex wako ni mshamba tu na wala usimpe kichwa kwa kumpleka kwa pilato,..usitumie njia za vijijini kutatua matatizo kwenye matatizo ya mjini(mpele kimjini *2 kama alivyotaka)..wewe mpambanishe na wahuni wenzie kama hajakimbia mwenyewe...mpuuzi huyo yaani hajali kabisa furaha ya wenzake_kama bado alikupenda kwa nini alikuacha
Ndio maana namshangaa bora ingekua jana au juzi zaidi ya mwaka na ameshaoa hata sijui kaibuka tu from no where ananikosesha amani tu,nitajitahidi kutumia busara zaidi ukishindika nitamfikisha kwa pilato.
 
sidhani kama hii imekaa vizuri kwani matatizo ni yao wawili anaweza kumhusisha mke wa jamaa nae akawa kauzu zaidi mwisho wa siku atakuwa mbaya au akawa tatizo

Mimi naona ushauri wa mama Kigogo ni mzuri sana, ila ili ufanikiwe katika hilo inabidi umuingie mke wake kwa heshima fulani na ukiwa umetulia. Usiwe na papara, mweleze A to Z, mweleze jinsi anavyokuharibia! Mwambie akusaidie kumkanya mume wake. Naamini atakupa ushirikiano kwa asilimia 100. Pia mwonyeshe msg, hivyo usizifute na umwahidi kila utakayotumiwa utamfowadia. La kwenda kwa wazazi ni kujichora tu, na wazazi wenyewe ukute wamejizeekea, halafu huyo kijana wao labda ndiye anayewaweka mjini naona hawatasaidia lolote! Au ukute wazazi wake wako kijijini nk. Pia ukipata BF mwingine kama inawezekana, mpe story kama hiyo uiedit utakavyoweza, na kuwa kama ataambiwa lolote na huyo X BF apotezee kwani analengo la kukuharibia
 
Asante mwinjilisti kwa ushauri, nitaufanyia kazi hope mwisho wa haya utapatikana.
 
mimi nakushauri na wewe uwe kauzu mtafute mke wake umpe mkanda mzima na umwambie amfikishie mumewe ujumbe kwamba ahache kukufuatafuata dawa ya mume wa mtu akikuzingua wakilisha kwa mkewe lazima ashike adabu
ushauri huu mzuri pia,ufute ila kiustaarabu sana!!ikishindikana nenda polisi na hizo msg usizifute!kumtishia mtu maisha ni kosa na atahukumiwa ikidhibitika
 
Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata mchumba akaoa, na mie nikawa nadate na mtu kumbe ananifatilia akafuta yule mtu wangu sikujua alimwambia nn,ila mtu wangu akaomba tuachane kwa amani na nisimtafute tena,kwa vile tulikuahatujanza kupeana nikamwacha aende zake na sikujua sababu, ni wiki mbili sasa yule x wangu alieoa ananifuatilia akiniona na mtu ananitumia msg kali na kuniambia atamfanyizia huyo mtu anaetaka kumuibia penzi lake km alivyomfanyia yule niliadate nae baada ya kuachana ndio nikajua yeye alikuwa sababu,sasa jana usiku kampigia dada yangu anamwambia anikanye nisiwe na mpnz yoyote kwan yeye ndie mpanz wangu wa maisha na mimi akanitumia msg hivyohivyo ya kunionya,naomben msaidie nimfanye nn huyu mtu aniache na maisha yangu, nawasilisha.

Cantalisia

Huyu mwanaume kweli ni mkware. Alikuacha yeye mwenyewe, kenda kuoa kwingine, sasa hataki uwe na maisha yako? Mwehu!

Dawa ya mkware ni wewe kuwa mkware zaidi yake. Inabidi uwe mwerevu na jasiri, lakini ni rahisi.

Unachopaswa kufanya ni kuingia mtaani, fanya forgery ya cheti cha kipimo cha VVU. Fanya hima upate cheti kinachoonekana kwamba umeambukizwa VVU. Of course, wewe wajua kwamba hauko HIV-Positive, lakini yeye hajui. So ukishakipata, kwa kuwa una namba yake, mtumie ujumbe kwamba wataka kuonana naye. Atafurahi kusikia kwamba unamtafuta, atajiamini kwamba AMESHINDA.

Siku mkionana, unampa live. Unamwambia, bahati mbaya ulitembea na mtu bila kumjua vizuri, na ulipoenda kupima ukakuta umeambukizwa.

Trust me, huyo mwanaume, licha ya ukware wake, ni mwoga. Atajifanya kukufariji lakini mtakapoachana hutamwona tena wala kumsikia wala hutapata vitisho vyake. Atakuogopa kuliko ukoma!

Gangamala, la sivyo utakuwa mtumwa wake daima. Inavyoonekana, hata ukibadili namba yako ya simu, ataipata tu, so ataendelea kukunyanyasa. Mpe hicho cheti bandia, uone moto wake. Mwenyewe utacheka njia nzima hadi nyumbani.

Mpotezee!
 
na wewe si ukafumue ndoa yake kumbe mwenzio unamjua na kumjua ..yaani huyo wala asikumbue ukienda kumwaribia ataanza kukuomba yeye tusitafutane kabisa
 
Mtumie sms mwambie akiendelea kukufuatilia utamtumia mkewe hizo sms anazokutumia. Na akiendelea inabidi ufanye hivyo kweli.
 
Cantalisia

Huyu mwanaume kweli ni mkware. Alikuacha yeye mwenyewe, kenda kuoa kwingine, sasa hataki uwe na maisha yako? Mwehu!

Dawa ya mkware ni wewe kuwa mkware zaidi yake. Inabidi uwe mwerevu na jasiri, lakini ni rahisi.

Unachopaswa kufanya ni kuingia mtaani, fanya forgery ya cheti cha kipimo cha VVU. Fanya hima upate cheti kinachoonekana kwamba umeambukizwa VVU. Of course, wewe wajua kwamba hauko HIV-Positive, lakini yeye hajui. So ukishakipata, kwa kuwa una namba yake, mtumie ujumbe kwamba wataka kuonana naye. Atafurahi kusikia kwamba unamtafuta, atajiamini kwamba AMESHINDA.

Siku mkionana, unampa live. Unamwambia, bahati mbaya ulitembea na mtu bila kumjua vizuri, na ulipoenda kupima ukakuta umeambukizwa.

Trust me, huyo mwanaume, licha ya ukware wake, ni mwoga. Atajifanya kukufariji lakini mtakapoachana hutamwona tena wala kumsikia wala hutapata vitisho vyake. Atakuogopa kuliko ukoma!

Gangamala, la sivyo utakuwa mtumwa wake daima. Inavyoonekana, hata ukibadili namba yako ya simu, ataipata tu, so ataendelea kukunyanyasa. Mpe hicho cheti bandia, uone moto wake. Mwenyewe utacheka njia nzima hadi nyumbani.

Mpotezee!
Mwanahaki umenichekesha sana hilo ni la kwanza, la pili wazo lako zuri sana na nimelipenda, hope hakuna asiyeogopa ukimwi labda awe ameathirika, asante sana kwa ushauri unafaa sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom