Sio kila jambo la kushauriwa hasa hasa mapenzi...........kipendacho roho ula nyama mbichi. mwambie girl asikilize moyo wake aachane na mambo ya maushauri kama moyo unafuraha na amani basi atulie hapo kwa boy wake.ila kama unauma atafute na yeye shemeji wa kutaniana.
Jamani mapenzi ni rahisi sana tu maana ni vile unavyojisikia wewe kwa mtu wako hayo makitu mengine ni mbwembwe tu:bowl:
siku hizi wadada kuzungukana mbuyu mbona kupo sana tu especially kama boy ana mapeni (pesa pesa hivi). mdada anawaambia mambo ya boyfriend wake anaona raha kumbe mashoga zake wanavizia simu ya huyo mdada wachukue contact ya boyfriend wake! halafu mwanaume naye kama ni fisadi wa ngono atawazunguka mashoga wa girlfriend wake. wakija kujuana...kinanuka!