Jibu sahihi kabisa lililokuja kwa mtindo wa swaliSwali muhimu kabisa ni hio monitor yako ina port gani? Piga picha ports zake ama eka model yake hapa waru waiangalie.
Angalia Port's zake kama zinaruhusu video wire ya kwenye.Ni aona DELL Model yake siijui vizuri. Ila haina kisogo.
Ni aona DELL Model yake siijui vizuri. Ila haina kisogo.
Port yake ni VGAIna port gani HDMI/VGA/DVI.
KAMA RECEIVER YAKO INATUNAMIA AV,NUNUA AV to HDMI/VGA/DVI converter and vice versa.
Sent using Jamii Forums mobile app