Sasa tatizo ni nini, si ukubali tu...! Kama wewe ni jinsia ya kiume basi ushauri ni kupeleka posa kwao, kisha subiri uone kama utakataliwa...!Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa...
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa, akasema bado ananipenda ila anataka tufahamiane vizuri zaidi, na kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na inawezekana ameshaanza kuona mtu mwingine huko nje,inside my heart nimeshindwa kabisa kufanya hiyo transition ya from lovers to just friends, swali langu kwa wapendwa wanajamii should I beleave him, any advice
kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na
Sina uhakika, ila naweza sema wewe ni msichana (Sorry kama nimekosea). Ushauri wangu ni kuwa, sidhani kama ni kwamba ameona mtu nje, ila kuna kitu anahitaji toka kwako. Kama hamjadumisha mila mpaka leo hii, naweza hisi ndio sababu. Ujumbe anaokupa hapo ni "KAMA HATUDUMISHI MILA, JUA MIMI NA WEWE BASI".
Huu ni mtihani mgumu sana kwa wanawake. Wengi huishia kuwapa kile wanaume wanachotaka kulinda penzi - So hapo kazi kwako!
Na hata kama utampa anachotaka, kutokana na hizo janja zake, uwezekano mkubwa ni kwamba atakutupa njiani baadae - na hapo sijui utampa nini kingine ili abaki.
Anyway, kwa kifupi, kwa mtu unayempenda hizo mbinu si za kiungwana. Me mbona msichana wangu bado (hajawahi) na tupo muda mrefu sasa kama wapenzi. Nampa nafasi afanye maamuzi mwenyewe. Cha msingi ni uaminifu!
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa, akasema bado ananipenda ila anataka tufahamiane vizuri zaidi, na kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na inawezekana ameshaanza kuona mtu mwingine huko nje,inside my heart nimeshindwa kabisa kufanya hiyo transition ya from lovers to just friends, swali langu kwa wapendwa wanajamii should I beleave him, any advice
Mengi kama yapi?Watu wengine bwana....:A S confused:... Labda mwenzio anakuepusha na mengi we unang'ang'ania....