La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
Baada ya graphical user interface kuimarika, hakuna haja ya kurudi enzi za zama za command line prompts.... na kujifunza command line...hasa kujifunzia command line
Nina mwaka sasa toka nianze tumia Linux nimeipenda sana,sina habari tena na mambo ya VIRUS mara ooh file not compatible.
Kinachonifurahisha zaidi ni ile one time instalation unlike window lazima uwe na OS na CD zingine kama za office package.
Baada ya graphical user interface kuimarika, hakuna haja ya kurudi enzi za zama za command line prompts.

Hiyo sentensi ni kituko.This kind of comments tells the whole story about which level of end-user you are at
Baada ya graphical user interface kuimarika, hakuna haja ya kurudi enzi za zama za command line prompts.
Mimi natumia Ubuntu 11.10, ninaipenda sana. Tena ina muonekano mzuri. Mimi ni mzoefu sana nina mwaka sasa tangu nianze kutumia ubuntu, nilianza na version 10.04. Jamaa wana muonekano mzuri sana, nakushauri utumie ubuntu 11.10, japokuwa wametoa ubuntu 12.04, inakaribiwa kuachiwa, nitaupgrade tu, maana nawakubali ubuntu ndio OS ya linux ya ukweli. Linux Mint Nayo ni mpya, ila haijaifikia ubuntu mpya. Welcome... kuwa mwanachama wa Ubuntu.
Ila nimesiki window 8 itakuwa haina virus...
unadhani ni kwanini kuna untivirus for linux? just heads up
Hiyo sentensi ni kituko.
"napendelea" ndio operative word hapo, unapenda tu, lakini ni useless. Kuna Graphical user interface, command line interface imepitwa na wakati from end user context.mi napendelea sana kutumia command line kufanya several administrative functions kwenye Linux yangu
Nitakushauri kuangalia youtube videos (at least the first four) za huyu kijana raspberrypitutorials.
napendekeza uanze na Debian GNU/Linux na kwenye hizo videos anakuelekeza jinsi ya ku'install virtual machine ambayo utaweza ku'install linux yoyote ile hapo baadae kama kujifunza au kuona tu muonekano wake.
Pata virtual machine hapa, nadhani hapa ndio mwanzo unaohitaji kuwa na linux running alongside windows...
Mimi nimeinstall Debian GNU/Linux kwa nia ya kuelimika kuhusu raspberrypi.org
Down the road: Nimeshapata kuambiwa kuwa, baada ya kujua command lines zote, inabidi uwajue baba na mama yao sed & awk, kwani hizi mbili ni swiss knife utakayoitumia in a mirriad of ways, kwa hivyo, keep this in the back burner kuwa utajifunza baadae...
Ukishapata environment yako, basi kuna materials kibao online za kujifunza hizo command lines hadi scripting and system management.
All the best...
"napendelea" ndio operative word hapo, unapenda tu, lakini ni useless. Kuna Graphical user interface, command line interface imepitwa na wakati from end user context.
"napendelea" ndio operative word hapo, unapenda tu, lakini ni useless. Kuna Graphical user interface, command line interface imepitwa na wakati from end user context.