Nisaidie kuitafsiri picha

Nisaidie kuitafsiri picha

Huyo binti alishamwambia jamaa yake babe kojoa nje nipo kwenye siku za hatari

Utamu umemkolea jamaaa kakojolea ndani baadae dada ndio kama hivyo [emoji1787][emoji1787]

Mimba mimba isikie tu halafu haujatarajia [emoji1787] p2 zinakuhusu zinavuruga kila kitu hapo
 
Usiku wa jana manzi alilewa akakata moto,kumbe jamaa ni"mende"kamla tope.
Manzi anamlaumu msela uku akilia"kwanini umenifanyia hivyo lakini jamani"
jamaa kamwambia"nilivyoona umevaa kikuku nikajua yaliyomo yamo"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wote mmeshindwa baada ya game jamaa ndio amegundua kumbe yuko mguu mmoja nnje , yani soksi imetoboka ndio maana walikuwa wanahisi utamu tofauti
 
Huyo binti alishamwambia jamaa yake babe kojoa nje nipo kwenye siku za hatari

Utamu umemkolea jamaaa kakojolea ndani baadae dada ndio kama hivyo [emoji1787][emoji1787]

Mimba mimba isikie tu halafu haujatarajia [emoji1787] p2 zinakuhusu zinavuruga kila kitu hapo
Ni zaidi ya taarifa mbaya au sio?[emoji3]
 
Walikubaliana jamaa amwagie nje lakini kwa makusudi kabisa kakandamiza wazungu wote wameingia golini na tarehe za hatari
Binafsi nimeshavuka hii hatua siwez sex na msichana akiwa danger kwanza nakua sina amani kabisa
 
Sababu itakuwa ni hizi 10 zifuatazo:-
1. Jamaa alijisifu ana uwezo wa hatari kumbe kamoja chali.
2. Jamaa kakata seal.
3. Jamaa alimuahidi binti wa watu ukija gheto tutatulia tu mwisho wa siku kamla kimasihara.
4. Binti hakuwa tayari kugongwa siku hiyo.
5. Jamaa itakuwa kamwagia ndani siku ya hatari.
6. Binti kaliwa na side B.
7. Binti kakuta msg za binti mwingine kwenye simu ya jamaa.
8. Baada ya game kavu kavu jamaa katangaza ni mwathirika.
9. Jamaa baada ya kupiga game, katangaza hana mpango wa ndoa na huyo binti.
10. Usikute jamaa aliahidi hela kwa ajili ya Krismass mwisho wa game kumbe hana hela!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Namba Saba inahusika. Dem alikuwa Yuko mwenyewe kaginduwa jamaaa namsaliti
 
Back
Top Bottom