Benjonathantz JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 237 Reaction score 52 Apr 17, 2014 #1 Mimi kijana ninayependa kufahamu zaidi juu ya social network App... Hivi ni hatua gani ninazo paswa kuzifuata ili kusajili mtandao mpya wa kijamii. Na je, katika suala la malipo likoje?
Mimi kijana ninayependa kufahamu zaidi juu ya social network App... Hivi ni hatua gani ninazo paswa kuzifuata ili kusajili mtandao mpya wa kijamii. Na je, katika suala la malipo likoje?