Niruhusuni kuoa wanadada wa Bongo kwani napata habari ni warembo sana

Niruhusuni kuoa wanadada wa Bongo kwani napata habari ni warembo sana

Kijana Mdaku

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
24
Reaction score
2
Huku kenya katiba yakubalisha wanaume kuoa mabibi wengi iwezekanavyo ili kura ziongezeke. Target yangu ni kuoa Mabinti watano wa Bongo ikiwezekana. kimahaba niko sawa mara elfu moja. Nitatia bidii ya mchwa kazini ili washibe washibiane. Mabinti mwasemaje tafadhali? BORA MWANAMKE ATOSHEKE KIMAHABA TU au sio?
 
mmmmhhhhhh kaz ipo, mke mmoja mmoja tu huwa shida mipango ya kando kibao na ni wasiwasi umetengana na mkeo, wadada wengi waliolewa na wa kenya wanaishia pabaya sana.
 
Wewe oa hao wakenya wenzako mliozoea kila leo mnapigana na ukabila wenu ukiona hawakutosha pale mombasa wapo pia wale wenye jinsia yako nao wanataka kuolewa kaongeze tu.
 
Wasichana wao hawa wataki maana wako zero on bed.
Twawagongea sana dada zao
 
Nipeni madada zenu tu tafadhali mwone sitowatesa bali kuwatimizia haja kitandani kila wakati. sina pupa jameni
 
Hata Ishirini bora wawe safi daima waweza mabinti watano wewe[/QUOTE]
 
Usichanganye wabongo si sawa na hao wahuko kenya. Hapa ni lazima uwe na chapaa mobu. Haishibi kwa mapenzi.
 
Huku kenya katiba yakubalisha wanaume kuoa mabibi wengi iwezekanavyo ili kura ziongezeke. Target yangu ni kuoa Mabinti watano wa Bongo ikiwezekana. kimahaba niko sawa mara elfu moja. Nitatia bidii ya mchwa kazini ili washibe washibiane. Mabinti mwasemaje tafadhali? BORA MWANAMKE ATOSHEKE KIMAHABA TU au sio?

Mkuu nenda ukaoe TARIME au RORYA.
 
Kila kitu kipo na kwanza mahaba. Bora akubali kuitanishwa nami katika hali zote kwani binadamu ni wale wale kwanza wakiniona na kike wa bongo watanipangia mauti ila Mungu huwa nami kwani nimeokoka kabisa na moyo wangu wote na Mungu afahamu hivyo. Ajue hakuna siku wanadamu watacheka na kwa lolote lile. Nitajitolea kumpenda kwa dhati na kumtunza kwa hali na mali. Nitakufa nikimpigania. mlete ama uje!
 
Back
Top Bottom