Nirudishie kodi ya miezi 4 ukae miezi 5 Nyumba ipo Mwanza

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Nililipia miezi sita ya kodi kuanzia January-June Tsh 900,000 kodi ya miezi 6 nilitakiwa kuhamishiwa Mwanza hivyo hakuna kuhamishwa tena nyumba iko Mwanza Nyakato National ni vyumba viwili, Kimoja master, choo ya public ndani na sebule, na sehemu ya jiko, kama kuna mtu anatafuta nyumba Mwanza nichek unirudishie laki 6 tu ya miezi 4. Nyumba ina tiles, Slide window, sifa zote za nyumba ya kisasa kwa kupanga.
Maji+Umeme (24/7)
Iko ndani ya fensi.
Atakaechukua nitampa offer ya king'amzi cha azam au Microwive hivyo atachagua kimoja wapo.

Tuwasiliane 0716863406
IMG-20191217-WA0011.jpg
20200228_121528.jpg
20200228_121445.jpg
20200228_121528.jpg
 
Nililipia miezi sita ya kodi kuanzia January-June Tsh 900,000 kodi ya miezi 6 nilitakiwa kuhamishiwa Mwanza hivyo hakuna kuhamishwa tena nyumba iko Mwanza Nyakato National ni vyumba viwili, Kimoja master, choo ya public ndani na sebule, na sehemu ya jiko, kama kuna mtu anatafuta nyumba Mwanza nichek unirudishie laki 6 tu ya miezi 4. Nyumba ina tiles, Slide window, sifa zote za nyumba ya kisasa kwa kupanga.
Maji+Umeme (24/7)
Iko ndani ya fensi.

Tuwasiliane 0716863406
View attachment 1345392
Mkuu nyumba yote hiyo kodi 1.8M kwa mwaka national?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom