Karibu
TIQO,ila ujue hapa vigezo na masharti lazima vizingatiwe.
Sijajua kama wewe ni mdada/mkaka,yote kwa yote jua humu kila mtu ana wa kwake,tunaishi kikapo (ingawa cheating ipo kwa sana), hivyo ka vipi katafute mwandani mjiunge naye hapa (wakware wakimtaka usikasirike).
Sawa mkuu?
Copy:
kiplagati26 c/o orotoitoch hotel,nakuru.