nipokeeni

Karibu sana Aminata wa Keita....na ww una mwanya?
 
Amina karibu. Karibu tena na tena.
 
kanga moko laki si pesa waijua? karibu Tanga tule iddi
 
karibu sana na ujifunze kuoanisha heading yako na kilicho ndani ya maelezo yako
ur welcum
 
Karibu sana Mpendwa na ujisikie uko ndani ya wa2 wasiotaka mambo ya kihuni hata kidogo.
 
Never seen this before... hata kama ni too late, karibu mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…