Mamengijujâ
New Member
- Dec 2, 2012
- 4
- 0
kwa hiyo unaona ujiko kujitangaza kuwa wewe ndio chombo changu cha starehe?Mamengijujâ;5145114 said:Nimekuja kudhibiti wezi wa mume wangu Bujibuji.
Habari ndio hiyo
Karibu, mzee mzima atakuwa mpole sasa!
Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
Heeh!umeingia kwa mbwembwe sana shemeji ila usijali karibu sana jisikie huru.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us