Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,011
- 14,841
Hivi ukisema wilaya yoyote kwenye Mkoa wa Kilimanjaro (ukiondoa upareni) ni ''ngumu sana kuishi'' ukienda wilaya za mikoa kama Mtwara, Lindi na Dodoma utasemaje?Habari wanajamvi!
Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji! Waziri wa maji embu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana! na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni! Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini!
Hivi ukisema wilaya yoyote kwenye Mkoa wa Kilimanjaro (ukiondoa upareni) ni ''ngumu sana kuishi'' ukienda wilaya za mikoa kama Mtwara, Lindi na Dodoma utasemaje?
Muulize selasini anafanya niniHabari wanajamvi!
Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji! Waziri wa maji embu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana! na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni! Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini!
Kweli mkuu,rombo ni pazuri sana kuishi,hasa kama una kitu mfukoni,nyama choma pale mrere mashati na Kilimanjaro ya bariidiMaji ya nini ukiwa mgombani asee si unakamata kitochi tu na kiu koma..Na hujamalizia ni wilaya pekee ambayo lami imefika hadi vijijini ndani na hadi kuna mabasi yanatoka Dar to Rombo....So si wilaya ngumu unavyotaka kuaminisha watu...
nishatembelea huko, kuna barabara zina vibao vya barabara binafsi na ma DK na Maprofesa kibao na umeme milimaniWewe kengw upareni unapJua au unapasikia?
pole sanaHabari wanajamvi!
Wakuu nipo Wilaya ya Rombo kwa kazi ya miezi 6 field ya shule ya msingi, Huku kuna shida ya maji na kila baada ya mita 800 unakutana na visima vikubwa vya kuifadhia maji vikiwa vinavuja maji ila kwenye mabomba hayatoi maji! Waziri wa maji embu njoo huku uje utumbue hili jipu la hili shirika la maji, Linapoteza hela nyingi sana! na Mkuu wa wilaya sijui na hili halioni! Maji unayafuata kilomita 6 wakati visima vinamwanga maji chini!
Habari wanajamvi!

Mtu kwao ee!Wewe kengw upareni unapJua au unapasikia?
Huko ni Lana tupu!!!!Jaribu bahi