Na wewe huwa unaumizwa?Wakuu heshima kwenu.
Baada ya kaumizwa kimapenzi na kuzingatia ushauri wenu nimepata ahueni kubwa sana.
Baada ya hayo yote nimechukulia Poa na nakula vyombo.Usiulize ni vyombo gani?
Mungu awabariki.



Kwani ye naniNa wewe huwa unaumizwa?
Naukumbuka huo uzi hivi ukumsamehe baada ya kukuomba msamahaMkuu tafuta Uzi "karudi Na kilio aisee!!" Utajua kila kitu upo humu.
Naomba namba me nakulaga vibudu mkuuMkuu moyoni nimesamehe ili nisitengeneze magonjwa ili maisha yaende,ila sijamkubalia kurudi kwake.