Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
asante sana mkuuwell done!
Umejitahidi, ila rangi nyekundu uliyotumia kwenye maandishi sio nzuri jaribu kuibadilisha na pia blog yako ina mchanganiko wa rangi nyingi sana ingekua vizuri zaidi kama utatumia chache tu...
Ushapata sponsor? Au nini lengo la kuanzisha blog yako?
hongera kuanzisha blog yako
ni vema maandishi yabau kuwa ya rangi nyeusi..
ungetneneza uwiana kwa kutumia tangi za bendera yetu ya taifa.. ingekaa poa..
hongera kwa uthubutu...songa mbele
sponsor bado sijapata na sijajua jinsi ya kupata hebu nielekeze king
Unaenda kwenye makampuni makubwa na sample za web yako ikizipromote kampuni hizo unawaonyesha pia unaweka strategies zako kuipromote web yako na no of hits za page yako ila jitahid kwanza kuipa promo ili iwe na hits nyingi kwanza then after that ni simple kupata sponsor
Umejaribu umeweza. Hongera sana Mkubwa.