Ha ha ha ha kumbe u mtaalamu wa kufungua vizibo!Sasa mkuu si urudi tu kwa yule wa zamani maana huyu wa sasa tayari ana mwenza na ukizidi kung'ang'ania ndio utakavyozidi kupoteza dira ya maisha yako na mapenzi yako maana inawezekana kabisa ukawa spea tairi kwa huyo mwanamke kama akikubali mrudiane.
Wakati mwingine kaka mrudie Mungu tu uepushe majanga.