hivi kufunga ndoa ni nini hasa?
mwanaume kukamilisha taratibu za mahali au mpaka mambo ya kanisani na ukumbini?
kama ni hayo ya kanisani na ukumbini utamkosesha mume mwenzio.
vijana siku hizi hatuoi sababu ya gharama za harusi.
harusi siku hizi imegeuka sehemu ya kutiana umaskini na kutajirisha wengine.
😱😱😱 kama huu umri ni sahihi menopause si inamuhusu (samahani lakini)
Jinga sana
huyu anachezea akili za watu humu
Mkuu,wakat mwingne unanichekesha mpaka nafurah, yaan unakuwa kam ni mshirika wangu kikazi na makazi!!! Ila siyo neno...hata huu urafiki wa kugongana kimawazo ndani jf ni urafki mtamu zaidi. NITAFUNGU UZI, "MOYO WANGU USEMAVYO"