Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 596
- 977
ππππ πππππ π πππ πππππ ππππππ’πππππππ£π, ππππ ππ ''πΌπ΄" ,πΈπΎ π’ππππ πππ, Muslim
Niende moja kwa moja kwenye point nipo kwenye mahusiano na wanawake wawili lakini nimebaki njia panda yupi nimuoe kutokana na sababu zifuatazo:-
1. Wakwanza ananipenda saana na yeye ndo alianza kunichokoza na ni mtu wa ibada sana lakini tatizo ni kwamba alishawahi kuolewa ndoa yake ikavunjwa na upande wa mume wake(ndugu wa mumew), hivyo akawa anaishi na watoto wake wawili , mkubwa ana miaka 4 ila huyu mdogo sikumbuki!
2. Huyu wa pili ni muislam pia lakin breakup za hapa na pale kati yangu na yeye n nyingi na ndo kwanza tuna mwaka mmoja katika mahusiano, pia ni mtu anapenda showoff ila kuna muda anakuwa mtu wa ibada ila kuna muda shetani akimshikia kisu anabadilika
πΊπππ πππππ ππππ πππ π ππππ πππππππ ππππππ ππ ππππ ππππππ ππ πππ
π΅π©: πΎπ πππππ ππππ ππππ ππ ππππππ ππ πππππππ ππππππππ , ππππ ππ ππππ ππππ ππππ ππ ππππ ππ ππ ππππππ ππππ
α΄Ία΅Κ°β±α΅α΅Κ²β± α΅Λ’Κ°α΅α΅Κ³β± βΏα΅ Λ’β±α΅ α΅α΅α΅α΅Λ’β±