Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,325
- 1,034
Hakuna wa kuoa hapo
unachoma na powercef 5 in advansi, ili hata symptoms zisijeWa 1 na wa mwisho unapiga mpaka jasho linakakamaa.
Fortheththirded
proton upo ?Wewe kwa nn uoe wake za watu oa wa kwako kama ni hao acha kabisa utakuja kuangamia kwa kukosa maarifa
Kuwa kuwa kwanza angalau ukifikisha miaka 35 uje tukushauri𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚒𝚌𝚑𝚠𝚊 𝚌𝚑𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚟𝚢𝚘𝚓𝚒𝚎𝚕𝚎𝚣𝚊, 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚗𝚒 ''𝙼𝙴" ,𝟸𝟾 𝚢𝚎𝚊𝚛𝚜 𝚘𝚕𝚍, Muslim
Niende moja kwa moja kwenye point nipo kwenye mahusiano na wanawake wawili lakini nimebaki njia panda yupi nimuoe kutokana na sababu zifuatazo:-
1.wakwanza ananipenda saana na yeye ndo alianza kunichokoza na ni mtu wa ibada sana lakini tatizo ni kwamba alishawahi kuolewa ndoa yake ikavunjwa na upande wa mume wake(ndugu wa mumew), hivyo akawa anaishi na watoto wake wawili , mkubwa ana miaka 4 ila huyu mdogo sikumbuki!
2..Huyu wa pili ni muislam pia lakin breakup za hapa na pale kati yangu na yeye n nyingi na ndo kwanza tuna mwaka mmoja katika mahusiano, pia n mtu anapenda showoff ila kuna muda anakuwa mtu wa ibada ila kuna muda shetani akimshikia kisu anabadilika
𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒖𝒖 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒔𝒊𝒆𝒍𝒆𝒘𝒊 𝒏𝒊𝒑𝒊𝒕𝒆 𝒏𝒂 𝒚𝒖𝒑𝒊 𝒏𝒊𝒘𝒆𝒌𝒆 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊
𝑵𝑩: 𝑾𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒅𝒂𝒊 𝒎𝒂𝒉𝒂𝒓𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒔𝒂𝒉𝒂𝒇𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 , 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒘𝒂 𝒑𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒅𝒂𝒊 𝒃𝒊𝒍𝒂 𝒚𝒂 𝟏𝒎 𝒉𝒂𝒕𝒐𝒌𝒊 𝒌𝒘𝒂𝒐
ᴺᵃʰⁱᵗᵃʲⁱ ᵘˢʰᵃᵘʳⁱ ⁿᵃ ˢⁱᵒ ᵐᵃᵗᵘˢⁱ
Safiiiunachoma na powercef 5 in advansi, ili hata symptoms zisije
Mbona hakuna hata mmoja?𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚒𝚌𝚑𝚠𝚊 𝚌𝚑𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚟𝚢𝚘𝚓𝚒𝚎𝚕𝚎𝚣𝚊, 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚗𝚒 ''𝙼𝙴" ,𝟸𝟾 𝚢𝚎𝚊𝚛𝚜 𝚘𝚕𝚍, Muslim
Niende moja kwa moja kwenye point nipo kwenye mahusiano na wanawake wawili lakini nimebaki njia panda yupi nimuoe kutokana na sababu zifuatazo:-
1.wakwanza ananipenda saana na yeye ndo alianza kunichokoza na ni mtu wa ibada sana lakini tatizo ni kwamba alishawahi kuolewa ndoa yake ikavunjwa na upande wa mume wake(ndugu wa mumew), hivyo akawa anaishi na watoto wake wawili , mkubwa ana miaka 4 ila huyu mdogo sikumbuki!
2..Huyu wa pili ni muislam pia lakin breakup za hapa na pale kati yangu na yeye n nyingi na ndo kwanza tuna mwaka mmoja katika mahusiano, pia n mtu anapenda showoff ila kuna muda anakuwa mtu wa ibada ila kuna muda shetani akimshikia kisu anabadilika
𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒖𝒖 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒔𝒊𝒆𝒍𝒆𝒘𝒊 𝒏𝒊𝒑𝒊𝒕𝒆 𝒏𝒂 𝒚𝒖𝒑𝒊 𝒏𝒊𝒘𝒆𝒌𝒆 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊
𝑵𝑩: 𝑾𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒅𝒂𝒊 𝒎𝒂𝒉𝒂𝒓𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒔𝒂𝒉𝒂𝒇𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 , 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒘𝒂 𝒑𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒅𝒂𝒊 𝒃𝒊𝒍𝒂 𝒚𝒂 𝟏𝒎 𝒉𝒂𝒕𝒐𝒌𝒊 𝒌𝒘𝒂𝒐
ᴺᵃʰⁱᵗᵃʲⁱ ᵘˢʰᵃᵘʳⁱ ⁿᵃ ˢⁱᵒ ᵐᵃᵗᵘˢⁱ
Ila huyo wa kwanza si ameshaomba hadi talakaHao wake za watu siyo wako
Kivip mkuuMbona hakuna hata mmoja?
Watu hamnazo !?!View attachment 2583430Kula vyumaaa hivyoooo acha kuoa unapoteza muda.

Hakuna muoaji hapa,afu yaonekana wapenda sana mashangazi![]()

hamn wadogo tu wa kwanza 25yrs wapili 26