Nipo njiapanda naombeni msaada wenu wanaJF

Oa huyo wa kwanza mwenye watoto 2 na ambae kimsingi anakupenda, pia ni mtu anajua maana ya ndoa na anaihitaji Sana ndoa na anaonekana kutulia baada ya mawimbi ya hapa na pale kwenye maisha yake.

Huyo wa pili umeshasema mna break ups za kila mara maana yake ni kuwa chemistry yenu imekataa na inawezekana kuna vitu hamuendani ndio maana kila mara mna break up.

Nje ya mada. Katika Hao wawili yupi ni zaidi kwenye 'ibada' ya kitandani? Hilo hujalisema ila Lina beba Sana nafasi
Akili yangu pia ilkuwa inasoma huko huko!

Kwa upande wa kitandan wa kwanza yeye kasem had ndoa na hawez kutenda hyo dhambi kabla na nkimuangalia Anamaanish
Wa pili yupo vzur japo saiv hatak tena kasema kama natak zaid niende kwao
 
Mwambie huyo wa kwanza ili mambo yaendelee unaomba mpige game. Mwambie umeshamkubali na unataka kumuoa ila unahitaji kuona na upande wa kitandani na infact na yeye akujue ukoje kitandani. Hakunaga mambo ya kuonjana baada ya ndoa

Huyo wa pili kiufupi achana nae tu.

emoji3.png
 
Sawa sawa mkuu nmekupata
 
𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚒𝚌𝚑𝚠𝚊 𝚌𝚑𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛 𝚔𝚒𝚗𝚊𝚟𝚢𝚘𝚓𝚒𝚎𝚕𝚎𝚣𝚊, 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚗𝚒 ''𝙼𝙴" ,𝟸𝟾 𝚢𝚎𝚊𝚛𝚜 𝚘𝚕𝚍, Muslim
Niende moja kwa moja kwenye point nipo kwenye mahusiano na wanawake wawili lakini nimebaki njia panda yupi nimuoe kutokana na sababu zifuatazo:-
1.wakwanza ananipenda saana na yeye ndo alianza kunichokoza na ni mtu wa ibada sana lakini tatizo ni kwamba alishawahi kuolewa ndoa yake ikavunjwa na upande wa mume wake(ndugu wa mumew), hivyo akawa anaishi na watoto wake wawili , mkubwa ana miaka 4 ila huyu mdogo sikumbuki!
2..Huyu wa pili ni muislam pia lakin breakup za hapa na pale kati yangu na yeye n nyingi na ndo kwanza tuna mwaka mmoja katika mahusiano, pia n mtu anapenda showoff ila kuna muda anakuwa mtu wa ibada ila kuna muda shetani akimshikia kisu anabadilika

𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒖𝒖 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒔𝒊𝒆𝒍𝒆𝒘𝒊 𝒏𝒊𝒑𝒊𝒕𝒆 𝒏𝒂 𝒚𝒖𝒑𝒊 𝒏𝒊𝒘𝒆𝒌𝒆 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊
𝑵𝑩: 𝑾𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒅𝒂𝒊 𝒎𝒂𝒉𝒂𝒓𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒔𝒂𝒉𝒂𝒇𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 , 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒘𝒂 𝒑𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒅𝒂𝒊 𝒃𝒊𝒍𝒂 𝒚𝒂 𝟏𝒎 𝒉𝒂𝒕𝒐𝒌𝒊 𝒌𝒘𝒂𝒐

ᴺᵃʰⁱᵗᵃʲⁱ ᵘˢʰᵃᵘʳⁱ ⁿᵃ ˢⁱᵒ ᵐᵃᵗᵘˢⁱ
Bado umri mdogo sana ila siku ukifika njia ya panda Segera tuambie tushuke wote
 
Sawa sawa mkuu nmekupata
May GOD lead you young man,

However have you calculated the risk ,any possible risk between the two in many distant days to come??

Create a Grand vision, take a peep into the future, what you want in life then come back and make sure decisions.
All the best.
 
Thank you Sir
 
Back
Top Bottom