hivi unajua kwa wale walioko kwenye ndoa kama haujaokoka, mkiishi miaka miwili unaweza kumchoka mkeo au mmeo ukajuta kwamba kwanini umeoa?..sasa kama utakuwa unachovyachovya tuu kwa miaka sita, ni dhahiri kwamba ameshakuchoka, anahitaji kitu kipya na kwasababu hamjapigwa pingu, yuko free...kama unataka kuolewa usivue kufuli, ukivua tu, atakufanyia experiment na comparison mwishoni atatoa makisi za mtihani 10/100, sio fresh kama yule na yule..hivyo hata kama ataendelea kuwa na wewe anakuwa anafanya mahali pa kumalizia hamu tu, mipango ya kutafuta mwingine inakuwa inaendelea kimyakimya.
hivi kama nikija kukutongoza, ukakubali, kidogo tu ukaja kwangu kupiga deki,mara kufua nguo na kufuli umeshatoa tayari, si nitajua wewe hauna msimamo jamani, nikija kukuoa kweli nikasafiri nitajua wewe si mrahisi?...jamani jamani, mnakaa na wanaume bila kuoa?....wadada walio tulia huwa hawataki kutoa kufuli hata ufanyeje kwasababu hawajui jamaa atawapa maksi gani kabla ya kuwabwaga....wanakataa kabisa kutoa kufuli na wanawaambia kama unanitaka njoo utoe posa kwa wazazi wangu ili wazazi pia waheshimike....ukifanya hivyo hata kama mwanaume atakuwa anang'ang'ania kutaka mapenzi, moyoni atakuwa anajivunia "lakini ametuliaaaa, si mrahisi, wanaume wengine si rahisi kumwingia huyu"...utapata upendo wa ajabu...ukiwa mrahisi kama mdada wa kwenye madanguro, atakushusha hadhi na utakuwa sawa tu na housegeli..tulieni wadada..