wapo wanaeamini kuwa mwasilika akitumia arv masaa mawili kabla ya tendo virus wanakuwa butu/inactive kuweza kusambaa kirahis hivyo huzuia maambukiz mapya!
njia hii si rasmi, hivyo inabaki kuwa ni mtazamo tu wa watu ktk kujifariji na kuendekeza ngono zembe!
try this for u ar own risk!