Kwanza tubia kwa Mola wako na utengeneze ulipo paharibu yaani ni kuwaoa wote hao mabinti. Kumbuka kutoa mimba ni uuwaji vile vile.ushauri usimwambie huyo wa kwanza ila funga nao ndoa na usirudie zinaa ujutie ulo yatenda
Wakati unawatongoza na kuwapa mimba uliomba ushauri... Watoto wa kike wana kazi sana, na ni wahanga sana... Sasa mtu kama huyu anajua kabisa alishapewa muongonzo na baado anatenda kusudi alafu anakuja kuaomba ushauri... panda ulichovuna...