Nipo njia panda naombeni ushaur

Nipo njia panda naombeni ushaur

Msamehe tu!!!!!!!!!! Kwani wewe umekosea wangapi? Sie binadamu hakuna mkamilifu! This is exactly what a weak man will do!

USIMSAMEHEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

1. She disrespected you purposely kwa kufanya ufuska in her matrimonial home and matrimonial bed!!!!!!!!!! Hii ni zarau kubwa sanaaa to your manhood!

2. Hakupendi kabisaaa! She made a choice kumpa ubuyu mwanaume mmoja and that man wasnt you dude!!!!!!!!! Ooooppps!!!!!!

3. She isnt sorry but stranded! Kama alijuta ulivomfurumusha angekimbilia kumuomba mama yako amuombee msamaha! But she did is leave without turning back kama Lutu vile alivoondoka gomora na sodoma. Miez mitano maisha yamempiga ndo kakukumbuka zoba lake.

4.I bet you 200% atarudia tena coz YOU DONT KNOW WHY SHE DID IT IN THE 1ST PLACE!!!!!! Think Boy! Think!

Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe! (Najuuuuuuuuuta kufungua hii thread)

Best comment ever read,
 
fanya kitu moyo wako unapenda....
ila kosa kubwa ni kkunyima wewe,na kumpa mwingine ili hali ni mali yako
 
huo ni ugonjwa gan?i,hukufuatilia zamani na una haki ya kuchitiwa,umekaa kizoba lol..
 
kaka mi nadhani msamehe lakini kwa matazamio,pia mwombee kwa Mungu atabadilika tu
 
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang niliporud akaniambia bado hana ham kabisa nikawa namwacha lakn sk1 nilikuwa kazn usk nikapgiwa sim na mtu nisie mjua akanambia nenda nyumban kwako kajionee uchafu wa mke nikaenda na nikawafumania kweli iliniuma sana skuwafanya lolote badala yake nikamwamuru aondoke kwang si mke wang tena baada ya miez mitano akaja kwa mama yangu kumwomba amwombee msamaha ili turudiane nae mama ananiambia nimsamehe , lakn moyo wangu hautaki hata kumwona. Naomben ushaur wenu

Shukrani ya punda mateke. Inasikitisha maisha haya tunayoishi bila ya kuwa na upendo wa dhati kwa wanandoa tena pasipo woga wa magonjwa hatarishi! Huyo mwanamke na rafiki yako ni wazinzi hawafai. Tuliza akili tafuta maisha na Mungu atakupa mke mwema siku ikifika.
 
kaka usipoteze mda,endelea kujipa nafasi ya kuishi maisha ya ukiwa peke yako ili utambue wapi ulikosea na ikitokea mkarudiana au kuoa mke mwingine uwe tayari hilo tatizo umepata suluhisho lake. Pole sana kaka,natambua jinsi moyo unavyougulia kwa ulivyotendwa na ndivyo walivyo hao binadam. Mhm ni kuwa usifanye maamuzi ya kubahatusha au ya msukumo toka nje maana matokeo yake yana madhara au faida kwako.
 
hebu wakubwa mshaurini manaake...hawa wanawake anaweza akawa na wewe ukafikria hawez kumruhusu mwingne katkat ya miguu yake,unakosea
 
Pole mkuu! Vp mna watoto?

if yes unaweza kumsamehe, otherwise mrudishe kijijini kenu/kwao akakae angalau 1yr ajifunze kidogo mila na desturi
 
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang niliporud akaniambia bado hana ham kabisa nikawa namwacha lakn sk1 nilikuwa kazn usk nikapgiwa sim na mtu nisie mjua akanambia nenda nyumban kwako kajionee uchafu wa mke nikaenda na nikawafumania kweli iliniuma sana skuwafanya lolote badala yake nikamwamuru aondoke kwang si mke wang tena baada ya miez mitano akaja kwa mama yangu kumwomba amwombee msamaha ili turudiane nae mama ananiambia nimsamehe , lakn moyo wangu hautaki hata kumwona. Naomben ushaur wenu
Je ulivyowafumania uliwakuta na condom? Je wewe huogopi ukimwi? hujui kwamba wanawake wapo wengi sana? Hujui kwamba wanawake wana huruma ndio maana mama yako anasema umsamehe? Usipende kutaka sifa za kijinga chukua maamuzi magumu
 
kaka mi nadhani msamehe lakini kwa matazamio,pia mwombee kwa Mungu atabadilika tu
ushauri mwengine kama nguvu za giza miezi mitano hiyo papuchi aliiweka store,mungu sio mnafiki kihivyo wewe eti mwombee si bora uombe uwe tajiri uzidi kuwagegeda
 
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang niliporud akaniambia bado hana ham kabisa nikawa namwacha lakn sk1 nilikuwa kazn usk nikapgiwa sim na mtu nisie mjua akanambia nenda nyumban kwako kajionee uchafu wa mke nikaenda na nikawafumania kweli iliniuma sana skuwafanya lolote badala yake nikamwamuru aondoke kwang si mke wang tena baada ya miez mitano akaja kwa mama yangu kumwomba amwombee msamaha ili turudiane nae mama ananiambia nimsamehe , lakn moyo wangu hautaki hata kumwona. Naomben ushaur wenu

dah..!! Huyo mkeo hana hata soni... Kubanjukia ndani kwake ndio nini jamani, huyo hawara yake hana kwake?
And then anaomba msamaha...,,, kukunyima kote kule mavituz na bado anabanjuliwa ndani kwako, waaaala usimsamehe kabisaaaa...!
 
Kwa maana wewe hujawahi kugegeda nje ya uliyekubaliana naye? Acha ubinafsi, kwanza sisi wanaume ndio wagegedaji sana nje[/QUO

Bora nje ya kusikia, kuliko ndani yakuona. maumivu yake ni tofauti ati.
 
bnafsi nachofaham hata ktk vitabu vya dini imeandikwa kwamba m2 ataachana na mume /mke kwakosa laudhinifu hivo bas huna haja yakukaa nakuaanza kuumiza kichwa kumxamehe mke kama huyo bali chukua uamuz ulio xahihi vingnevo utakuja kujuta nakuiumiza nafsi zaid yahapo ulipo [take care kaka]
 
Je ulivyowafumania uliwakuta na condom? Je wewe huogopi ukimwi? hujui kwamba wanawake wapo wengi sana? Hujui kwamba wanawake wana huruma ndio maana mama yako anasema umsamehe? Usipende kutaka sifa za kijinga chukua maamuzi magumu

I ravu zis😀
 
Back
Top Bottom