Nipo naelekea mahakamani kwenda kutoa ushahidi, kipi cha kuzingatia?

Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.

Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.

Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.

NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
Si uliandika maelezo polisi. Mwanasheria wa serekali atakukumbusha usihof...muhimu usitie chunvi ongea kile ulichokitolea maelezo polisi
 
Back
Top Bottom