Nipo Mbeya kuna fursa sana, wapi nikale bata?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Nina week ya pili sasa nipo Mbeya

Huu mji una fursa sana. Maisha yapo marahisi sana

Vyakula vya kutosha, maji sio tatizo

Hali ya hewa ya ubaridi ila mwezi huu ni balaa ila bora baridi kuliko joto

Jana nilienda Kyela kutembea

Mbeya kuna fursa sana, kilimo na ufugaji hapa ndo mahala pake

Jamani pia biashara ya nafaka unaweza pata huku

Ila jamani nielekezeni sehemu nzuri za kuenjoy na kula bata mbeya
 
Kuna sehemu panaitwa 501 ,Wana kuku bomba sana hapo, Bila kusahau mambo yetu (kinywaji)
Au fika city pub mkuu,
 
Nenda Pson maeneo ya Sai..mkono wa kushoto kama unaekea stend ya Nanenane.
 
njoo marafiki Ilomba ujingawa wa Jiji la Mbeya ni vumbi na watu kulala mapema.
 
Nina week ya pili sasa nipo Mbeya

Huu mji una fursa sana. Maisha yapo marahisi sana

Vyakula vya kutosha, maji sio tatizo

Hali ya hewa ya ubaridi ila mwezi huu ni balaa ila bora baridi kuliko joto

Jana nilienda Kyela kutembea

Mbeya kuna fursa sana, kilimo na ufugaji hapa ndo mahala pake

Jamani pia biashara ya nafaka unaweza pata huku

Ila jamani nielekezeni sehemu nzuri za kuenjoy na kula bata mbeya
Mbeya Carnival
 
Back
Top Bottom