Nipo matatani

Kama akili yako uliiacha huko ulikotoka rudi haraka kaichukue. Na kama hukuiacha huko na unayo hapo, basi itupe jalalani maana ni mzigo tu haikusaidii
 
Mkishafungua shule ndiyo hayo mahusiano yatavunjika maana bado upo likizo
 
Basi msemee mwaya kwa kakako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, aseme shemeji ananitaka?? sipati picha kaka ataon ana mdogo wake taahira coz kam kaka akisema alishikie bango atasababish hata ndoa kuvunjika coz sifikirii kam dada mtu atatak mdgo wake aonkan malaya……!!
 
Hahahaa! Kushinda kutwa kwenye tv huko ndio sababu ya yote hayo.

Ila maisha haya utakuta wenye nyumba wanaamini hatari na walipo wanajua wana watu wa maana kumbe mmmh shida tupu.
Hizi nyumba zina mengi,,, hapo utakuta kama msichana anasoma na jamaa anasoma kaka mtu huwa anawaambia wafundishan akijua ni watu kumb sebulen kinachofanyk Mungu tu nd shahidi…!!!
 
Si uondoke uende kwako au unapenda mterezo kaa mbal ww kaka ako ameshaoa usijiweke mzigo jiongeze
 

Likizo ya pasaka bado haijaisha? [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…