Ndio hapo sasa.Maswali mengine ni kutupima tu.. hivi kweli mkuu hujui chakufanya??
Si umwambie hutaki auAnanitaka kimapenz me sipo tayari
Eti ananitak,,,alafu anataka kuvunja mahusiano,duuh hatari hii,,, ila nahisi likizo inaelkea kuisha so asiwaze sana avumilie ila asirudi tena kwa kaka mpk shemeji mdgo akiondoka……!!!Sasa hutaki akae au???
Halafu tayari mna mahusiano, kwa nini unataka kuyavunja???
Nashangaa kigumu nini hapo?Si umwambie hutaki au
Sizitaki mbichi hizi ndo haoNashangaa kigumu nini hapo?
Ndio hapo sasa.
Hahahaaa! Jambo dogo kama hilo bado kalianzishia uzi duuh.Sizitaki mbichi hizi ndo hao
Ndo uyavunjeNachotaka nikuvunja haya mazoea anayoonyesha mkuu
Kwa hiyo mahusiano unayataka ila mapenzi ndio huyataki loolAnanitaka kimapenz me sipo tayari
Hajajielewa bado ndio mana anahangaikaBado anayaita mahusiano sijui tumsaidiaje