Ondoeni hofu, tupo kwenye makaburi tunamhifadhi mjeda mwenzetu Ret. General Jack. Picha za matukio baadaye nafyatua mizinga
Kunani jaman mwenye taarifa atujuze
Wakuu kuna mkuu mmoja wa jeshi anazikwa pale makaburini....hiyo ni mizinga yao tu
watu tukajua yemejirudia tena ya Mbagala na Gongolamboto
Hahah sio mkuu
Ndugu Kwenye haya mambo bwana rule no 1 ni kulay low huku ukijaribu kutafuta ni nini kinachoendelea,,, , ukijidai wewe ni hero yaani saa nyingine utaishia kuumia tu....Mwanaume wa dar @ work ulikwepo eneo la tukio lakini cha kushangaza umeshakimbia hadi nyumbani sa hvi upo chini ya meza unapost jf
hakuna kitu chochote cha aina hiyo........nakula laga!nipo mwenge naskia vinatokea lugalo au mbali zaidi kama baharini upande wa kunduchi beach.
Asante kwa ufafanuzi. Nipo hapa B-Bar nakula kitimoto sina amani...Ondoeni hofu, tupo kwenye makaburi tunamhifadhi mjeda mwenzetu Ret. General Jack. Picha za matukio baadaye nafyatua mizinga